Jokate Mwegelo ameonyeshwa kufurahishwa baada ya kuchaguliwa na jarida
la Forbes Africa la kuwa miongoni mwa vijana walio na umri chini ya
miaka 30 wenye mafanikio katika sekta mbalimbali kwa mwaka 2017.
Mrembo
huyo ameonyesha furaha hiyo katika mtandao wa Instagram, wakati
alipoweka picha ya cover la jarida hilo na kuandika, “Looks whose on the
cover of Forbes Africa with some other amazing young Africans doing
amazing things to create wealth and transform our economies? God is so
amazing. 


.”
“Never
underestimate your own strength. You were born for a purpose and are
blessed with an ability to achieve it. Mpaka kieleweke 

,” ameongeza katika picha nyingine aliyoiweka katika mtandao huo.
Naye Lavie Makeup ni mrembo mwingine kutoka Tanzania aliyetajwa na jarida hilo pamoja na Jokate.



0 comments:
Post a Comment