Monday, May 8, 2017

Image may contain: 2 people, text

Comments
Teddy Tanna
Teddy Tanna Pumbavu huyu, mchungaji gani huyu? mjaa dhambi tu
LikeShow more reactions
· Reply · 8 hrs
Divalina Albert
Divalina Albert Cku hz watumish halal wa Mungu wa chache bro wengine wananjaa ya hela
LikeShow more reactions
· Reply · 4 hrs
Deodatus Tungaraza
Deodatus Tungaraza Huyu mchungaji au mla sadaka za waumini wake.......
LikeShow more reactions
· Reply · 4 hrs
Mushi Michael
Mushi Michael Busara ni kuomba FARAJA ya Mungu,,,,hayo mengine yanaweza kusubiri hasa siasa za kupingana
LikeShow more reactions
· Reply · 3 hrs
Reshma George
Reshma George Huyu nae mchungaji?matatizo .
LikeShow more reactions
· Reply · 1 hr
Dory Mungure
Dory Mungure Taahira huyo huo uchungaji wake sijui aliupata wap
LikeShow more reactions
· Reply · 1 hr
Deo Ndosi
Deo Ndosi Msigwa hapa kakosea kwakweli ni kuleta siasa kwenye maisha ya watu which is very wrong kwa wadhifa alionao katika jamii ukiacha siasa uchungaji sikutarajia yeye kuandika maneno ya namna hiyo yani hawaoni zuri lolote la Rais analolifanya daah this is sad...
LikeShow more reactions
· Reply ·
1
· 54 mins
Maria Christian
Maria Christian Wakumuombea tu nae mchungaji atakua amepotea
LikeShow more reactions
· Reply · 11 mins
Hassan Nyello II
Hassan Nyello II hao cdm wapenda kiki ndo maana alipiga picha na nyanya #nyumbu
LikeShow more reactions
· Reply · 7 mins

0 comments:

Post a Comment