Richard Mbilinyi to Friends of CCM
WAHESHIMIWA WABUNGE HEBU PIGENI KAZI UZUSHI WAACHIENI WAKINA MANGE KIMAMBI NA TANZAGIZA!!!!!!!!
Nimesikitishwa sana na kauli aliyoitoa Mh GODBRESS LEMA Mbunge wa Arusha bungeni kuhusu Mh Abdulrahman Kinana kutekwa ati na chama chake CCM,
huu ni upotoshaji mkubwa sana wenye nia mbaya sana ya kuleta mifarakano ndani ya jamii. Na mbaya zaidi kaongea uzushi huu kwa kuaminishwa na kina Mange KIMAMBI na TANZAGIZA ambao huongea mambo ya uongo na kutukana serikali na viongozi wetu muda wote mitandaoni.
Namsihi
1. Mh Mbunge ajikite kwenye siasa za maendeleo badala ya siasa sizizo na TIJA katika jamii. Changamoto za wana Arusha ni nyingi lakini mbunge anajikita kwa mambo yasio muhusu, jiangalie sana mkuu maana sasa hivi Mkuu wa Mkoa Mh Mrisho Gambo anakubeba maana anachapa kazi sana na ndio maana Mkoa unakwenda likiwemo jimbo lako humo. Toka utoke mahabusu ujaongea kitu chochote kuhusiana na jimbo lako weye kazi kulalama na kuzusha mambo ambayo hujayafanyia utafiti.
2. Aache kuchukua mambo mitandaoni na ajikite kufanya utafiti kabla ya kutoa shutuma bungeni kwa mambo asiokuwa na uwakika.
3. Aache kuendeshwa na kina MANGE KIMAMBI na TANZAGIZA ajikite katika kufanya utafiti. Nahapa nahisi Mh Mbunge huyu na chama chake ndio wafadhili na watu hawa na vikundi hivi ambavyo kazi kubwa ni kutukana serikali na viongozi wakiwa wamejificha nje ya nchi.
Nawasihi sana waheshimiwa wabunge chonde chonde jikiteni na mambo ya maendeleo na punguzeni siasa za kuzusha mambo bila ya kuyafanyia utafiti maana mtaumbuka kama Mh GODBRESS LEMA anavyoumbuka baada ya kusema Mh Kinana katekwa na chama chake wakati si kweli. Mh Kinana alikuwa mapumzikoni kwa ajili ya matibabu na kasharudi na wote mumemuona ni Mzima na mwenye nguvu tayari kuwatumikia Watanzania na chama chake CCM. Nimuombe Mh Spika Job Ndugai ampe nafasi Mh LEMA afute kauli yake na aliombe bunge, chama cha mapinduzi CCM na Watanzania msamaha Kwa kusema uongo bungeni kwakitu asichokuwa na uwakika nacho. Kuwajibu wetu sote kujenga nchi yetu pendwa Tanzania...... Tanzania Kwanza.
By
RRM.

0 comments:
Post a Comment