Aongoza kikao cha kujadili TAARIFA YA mkaguzi na mdhibiti Mkuu wa hesabu za serikali(CAG) kwa mwaka 2015/16
- Kati YA halmashauri 7 za Mkoa wa mbeya hamashauri 6 zimepata hati inayoridhisha na moja imepata hati YA mashaka
- ATAKA taarifa YA CAG ijadiliwe kwenye menejimenti, Kamati za Fedha na mipango na Baraza la madiwani

- Ameagiza hoja zote zilizoibuliwa na CAG za mwaka 205/16 na miaka YA nyuma zipatiwe majibu 

- Taarifa za wakaguzi wa ndani zifanyiwe kazi kwani kupuuza hoja za wakaguzi wa ndani ndiyo chanzo cha kupata hati chafu
- Kikao chaweka maazimio 20 YA kuhakikisha halmashauri zinapata hati safi, uboreshaji wa mapato , Kudhibiti upotevu wa mapato,kuepuka mikataba mibovu , usimamizi wa miradi na tija na kutenga fedha kwa ajili ya mikopo YA vijana na wanawake



0 comments:
Post a Comment