Thursday, May 11, 2017

Image may contain: 5 people, people standing, sunglasses and outdoorAfanya mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero na kuhamasisha shughuli za maendeleo ktk Kata YA Iduda
- Achangia mifuko YA saruji 100 ujenzi wa kituo cha Afya Kata YA Iduda na kulitaka JIJI la mbeya kuwaunga mkono wananchi hao kupauaImage may contain: 4 people, people standing, tree, outdoor and nature
- Aagiza eneo la kituo cha Afya kujengwa fence kuzuia uvamizi unaoendelea ktk eneo hilo
- Atatua kero mbalimbali za wananchi ktk mkutano wa hadharaImage may contain: 1 person, standing, beard and outdoor
-wananchi waomba TRA wakusanye kodi za majengo ktk kata kuwaepushia wananchi usumbufuImage may contain: 4 people, people standing, outdoor and nature
- Kutokana na utendaji kazi mzuri tangu ateuliwe na kwa ushirikiano anaouonyesha Mkuu wa Mkoa kwa wananchi wa mkoa wa Mbeya,wazee wa Kata ya Iduda wamsimika rasmi kuwa chifu wa Iduda kwa Jina la MWAIGONELAImage may contain: 3 people, people standing and outdoor

0 comments:

Post a Comment