Mkuu wa Mkoa leo ameongoza kikao cha Bodi YA Barabara Mkoa wa mbeyaAmewaonya wale wote wanaharibu miundombinu YA barabara kwa kuchoma moto, kuiba alama za barabarani na wanaofanya biashara au shughuli za kijamii kwenye hifadhi za barabara NA ili kupambana na vitendo hivyo ameziagiza Kamati za Ulinzi na usalama ktk wilaya kuwafikisha ktk vyombo vya sheria wote wanaojihusisha na vitendo hivyo

- Ameziagiza halmashauri KUTOKUKAA na Fedha za miradi na kuchelewesha utekelezaji wa miradi mbalimbali ikiwemo barabara na maji

- Amewataka watalam kusimamia vizuri miradi YA barabara na kuwakumbusha madiwani wasipokee miradi iliyo chini YA viwango

0 comments:
Post a Comment