Aongoza usilikizaji wa kero za wananchi wa wiki YA mwisho wa mwezi Asema utaratibu wa kusikiliza kero mara mbili kwa mwezi umeleta mabadiliko kwa watendaji serikali awataka watendaji kuboresha huduma kwa wananchi ikiwemo
kupunguza urasimu Asema wananchi wakipewa huduma nzuri ktk ofisi za serikali itapunguza manunguniko na kwani urasimu ni chanzo cha rushwa


0 comments:
Post a Comment