Posted by Williammalecela.com on Monday, May 15, 2017

Mkoa
wa Arusha tumetoa rambirambi ya Million moja kwa kila familia na
kupitia Million 100 za Bunge tumetoa 2,850,000, Jumla ni 3,850,000 kwa
kila familia!
Pia Mkoa tumegharamia Majeneza yote 35, usafiri wa
Miili yote 35 pamoja na kulipa posho za madereva waliopeleka miili kila
mahali. Mchanganuo kamili unakuja.
Uongozi unao acha alama!
0 comments:
Post a Comment