Msanii wa muziki Bongo Linah Sanga, wiki hii ameamua kutoa picha za muonekano wa tumbo lake lilivyo kwa sasa.
Katika moja ya picha, baadhi ya watu na wadau wa msanii huyo wamemtupia maneno huku wengine wakimtaka avae dera kama nia ni kuonesha tumbo lake.

jumalokole2Kwanza najuwaga linna ni mweupe sasa sijui kapakwa nini na tarick,, pili aya mafuta ni ya kula au ya Nazi? . Maana umekandikwa ukakandikika haswaa ...Kwani ukivaa dera tumbo alionekani?aishahamisi38Nimekupenda bure juma wangu@jumalokole2proud_momy90mwenzangu mimb fabgproud_momy90mwenzangu mimba fashen siku izi ukiipata unaifanyia bday wacha tu wafanye watakavyoalicioscuteliciousUwo mchupi sasa km powerlatylicious__platnumz@jumalokole2 nakupa transfer uhame nchi hapa bongo hatukutaki utatuumiza mbavu zetualliyjahwahida.yaggaMlokole wa watu jamani dunia hii @salmawahamisicatherine_fimbocatherine_fimboUmejua kunivunja mbavuuuuu looooo naamka tu naanza kuchekaiam__sophyleylakizingaMuseme nyiejustinebi4141LINA MKINGA TOKA LINI WAKINGA WEUPEwemasepetu_tznsweetheartazizasalehe kanikerananaachynaSaiv ndo fashion ukipata mimba MTU una piga pic ivi jmn mambo ya kina rihana aya yameingia bongo aisee izi mimba za ki super starrosekelvin11Aisee Mastar Mnaboa Mmeshaona Mkicha uchi mimba ndio inaonekana ,mbn wazazi wetu wa zamani walijisiti na tulizaliwa jmn ,khaaa kiukweli mnamchukiza mungumyidolsdUmri wake unaruhusu muachenimyidolsdUmri wake unaruhusu muachenimunyshiNdo maana tunapata shida tunavotaka kujifungua atawekewa madrip mpk aombee poooh kujizaririshs 2 ovyooooo mxiiiiii
Hizi ni baadhi ya picha zilizopostiwa pia na watu wengine huku zikisifiwa na wengine wakiendelea kuziponda picha hizo.

0 comments:
Post a Comment