Bongo Fleva Diva Linah Sanga amesema hakuwa kwenye maelewano mazuri na mpenzi wake wakati anagundua anaujauzito wake.
Kwenye #FridayNiteLiveEATV na #Sammisago Linah amesema “Nilivyogundua nina ujauzito sikuwa naongea na mpenzi wangu, tulikuwa tumenuniana kwa zaidi ya mwezi mmoja, ila baada ya kujua nina mimba yeye ndio mtu wa kwanza kumpigia simu na kumwambia”
Linah ameficha jinsia ya mtoto anayetegemea kujifungua akisema ni SIRI yake kwa sasa.
0 comments:
Post a Comment