Monday, May 22, 2017

Image result for bulembo images
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mh. Aballah Bulembo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Wazazi/CCM Taifa na Mbunge wa Kuteuliwa na Rais, anatazamia kuanza ziara ya kutembelea Mikoa yote ya Kaskazini ambako atakagua uhai wa CCM na shughuli za Jaumuiya ya Wazazi ambayo tayari ameshatangaza kutoigombea tena nafasi hiyo kwenye uchaguzi utakaofanyika mwisho wa Mwaka huu. Pichani Mh. Bulembo akiwa na Rais Magufuli wakati wa Kampeni ya uchaguzi uliopita ambapo yeye alikuwa ndiye Meneja wa Kampeni hiyo ya kuchaguliwa kwa Rais Magufuli.

0 comments:

Post a Comment