Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi
(wapilikushoto) akikaribishwa na Mkurugenzi Mtendajiwa Vodacom Tanzania PLC, Ian
Ferrao (kulia) kwenye uzinduzi wa kampeni ya Ukarimu wa Vodacom, wakati wa futali iliyoandaliwa na kampuni hiyo katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan jijini
Dar es Salaam jana. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Mufti wa
Tanzania, Abubakary Zubery.
Huduma mpya yenye lengo la
ukarimu, ushirikano utoaji, itamwezesha mteja wa Vodacom Tanzania kunufaika na bando hili
la Ukarimu kwa kupiga *149*01# kisha kuchagua aina ya bando kulingana na uwezo wake
wa kifedha. Lipo bando linalo dumu kwa muda saa 24 na linalodumu kwa siku saba .
RaisMstaafu Ali Hassan Mwinyi (kushoto)
akizinduakampeniyaUkarimuwa Vodacom
wakatiwafutaliiliyoandaliwaya Vodacom Tanzania PLC jijni Dar es Salaam janaWanaoangalianiMkurugenziMtendajiwakampunihiyo,
Ian Ferrao (katikati) na Mufti wa Tanzania, AbubakaryZubery.Hudumampyayenyelengo la ukarimu, ushirikanautoaji, itamwezeshamtejawa
Vodacom Tanzaniakunufaikanabandohili la Ukarimukwakupiga *149*01#
kishakuchaguaainayabandokulingananauwezo wake wakifedha.
Lipobandolinalodumukwamudasaa 24 nalinalodumukwasikusaba
Mkurugenzi Mkuu wa Biashara wa Vodacom Tanzania PLC,
HendiHisham (kulia) akifafanua jambo kwa Mufti wa Tanzania Abubakary Zubery kwenye uzinduzi wa kampeni ya Ukarimuwa
Vodacom, wakati wa futali iliyoandaliwa na kampuni hiyo katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan jijini
Dar es Salaam jana.KampenihiyoilizinduliwanaRaisMstaafu Ali Hassan Mwinyi
(katikati). WapilikushotoniMkurugenziMtendajiwa Vodacom Tanzania PLC, Ian
Ferrao.Hudumampyayenyelengo la
ukarimu, ushirikanautoaji, itamwezeshamtejawa Vodacom Tanzaniakunufaikanabandohili la
Ukarimukwakupiga *149*01# kishakuchaguaainayabandokulingananauwezo wake
wakifedha. Lipobandolinalodumukwamudasaa 24 nalinalodumukwasikusaba



0 comments:
Post a Comment