Tuesday, May 23, 2017


Drake amefanikiwa kushinda tuzo 13 kwenye usiku wa Billboard Music Awards 2017 na kufunika rekodi ya tuzo 12 alizowahi kushinda Adele kutoka Uingereza.
Vipengele vikubwa alivyoshinda Drake ni pamoja na Msanii bora wa kiume, Msanii bora wa Billboard 200 Artist, Msanii bora Hot 100 Artist, Msanii mwenye wimbo uliouza zaidi ,Msanii aliyesikilizwa zaidi mtandaoni, Msanii bora wa rap, Ziara kubwa zaidi ya Rap.
2018 utakuwa mwaka mkubwa kwake tena baada ya mafanikio ya album yake mpya ya ‘More Life‘ kwenye Billboard 200.

0 comments:

Post a Comment