Saturday, May 27, 2017

Msanii wa filamu maarufu Tanzania Jacqueline Wolper amefunguka juu ya mahusiano yake maarufu sana na msanii wa WCB Wasafi Harmonize.

Wolper aliulizwa kama anajutia kuwa na Harmonize baada ya kuachana naye.

0 comments:

Post a Comment