Mama watoto wa Diamond Platnumz ‘Zari’ ametumia kurasa yake ya facebook kukanusha taarifa zilizosamba Uganda kuwa Ex wake na baba watoto wake watatu #Ivan amefariki dunia.
Ni wiki mbili sasa Ivan amekuwa mgonjwa na amelazwa kwa muda mrefu baada ya kufanyiwa upasuaji.
Post ya Zari kwenye Facebook yake inasema Taarifa za kifo cha Ivan sio za kweli.
0 comments:
Post a Comment