Posted by Williammalecela.com on Thursday, May 04, 2017
 |
..................TAARIFA KWA UMMA.......................
Kampuni ya Cartrack kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Tumekamata
magari 5 yaliyoibwa
yakiwa yamefichwa nyumbani kwa John Bangizi huko
Mbezi msakuzi ( machimbo) na mtuhumiwa amekiri kuhusika na wizi wa
magari hayo.
Kwa wale waliowahi kuibiwa magari yao tafadhali fika kituo cha police Mbezi Luis kwa utambuzi.
Kamanda Simon Siro Kamishna wa Police Kanda Maalumu Dar Es Salaam. |
0 comments:
Post a Comment