Posted by Williammalecela.com on Thursday, May 25, 2017
 |
| Habari ya mjini ni Le Mutuz Nation kukaribia kufunga Ndoa na Mchumba wake wa siku nyingi Super Star Model Nasra International ambaye siku za karibuni amekuwa akionekana naye sana sehemu nyingi hapa mjini. Nasra International pamoja na kuwa Meneja wa Mauzo wa Kampuni moja ya vifaa vya Umeme hapa mjini, pia ni mfanya biashara mkubwa anayemiliki maduka ya nguo huko Sinza na Kariakoo. |
0 comments:
Post a Comment