Posted by Williammalecela.com on Tuesday, May 30, 2017
 |
News Feed
LIVE
STRAIGHT TALK:- FACT ...Kazi ya kwanza ya Advocate ni kumtetea yoyote
yule hata Muuaji kisheria (Client) lakini Sharti namba moja ni lazima
AKIRI
kwa Advocate kwamba anahitaji Msaada wa kisheria kuchomolewa
kwenye makosa aliyoyafanya" hii inakubalika Kisheria ndio maana hata
Proffesional Ethics katika Law haijazuia Wakili kutetea Muuaji..juzi
kwenye ishu ya Mchanga wa Dhahabu katokea Mbunge mmoja wa Upinzani na
Mwanasheria anadai eti Tanzania na Rais wetu Magufuli tumekosea
sana kwa kutetea madini yetu so tumevunja "ECONOMIC
DIPLOMACY"...hahahaha ..alikuwa anafoka kwa lugha ya watu na kusema
"They Know Nothing about "Economic Diplomacy"...hahahaha ....Masikini wa
Mungu sijui alisoma Shule gani hapa Duniani walikomfundisha Superiority
ya ECONOMIC DIPLOMACY" over "NATIONAL INTEREST" na kujifanya yeye
anajua sana kuliko Rais na Kamati nzima ya Mchanga wa
Dhahabu!....inasikitisha sana when a supposedly Academician anaposhindwa
kuelewa FACT ya kuwa NATIONAL INTEREST haina mjadala wala Negotiations
na hasa unapogundua ACACIA walikuwa wakitudanganya mchanga una dhahabu
tu kumbe kuna aina 10 za Madini tofauti bila sisi as Taifa kujua now leo
tumewakamata Red Handed yeye anasema tutangulize Economic Diplomacy I
mean ni ujuha usiokuwa na kipimo.... Sheria namba moja ya Economic
Diplomacy ni TRUST na kwenye hii ishu tayari ACACIA imetudanganya so no
Trust cause hatuwaamini tena ....Wazungu wanasema hivi:- Decisions
concerning national interest should always be made on the basis of
concrete national advantage rather than on moralistic, legalistic or
ideological criteria The primary justification of state action is
national interests... Sera za Mahusiano na Mataifa kwa Mataifa
zinakuja baada ya Taifa kutazama Manufaa yake kwanza, Sera hizi zinakuja
kulinda tu Manufaa hayo bila Taifa moja kuathiri Manufaa ya Taifa
Jingine...eti huyo Mbunge anauliza Dunia inatuonaje? hivi kweli huyu
Mbunge ana akili timamu? maana alitakiwa kujiuliza Dunia inatuonaje kuwa
na Mkataba wa Madini unaotupa Taifa 4% over 96%? ...yaani Rais kamwagia
shimo mafuta kidogo tu yanatokea Majoka ya ajabu hivi hadi huzuni
...VIVA MAGUFULI KANYAGA TWENDE na MUNGU AIBARIKI TANZANIA! - le Mutuz
Nation
|
0 comments:
Post a Comment