
"Tunapitia Kesi zote za Madawa ya Kulevya zilizowahi kuamuliwa Miaka ya Nyuma na kuweka wazi kesi zote zilizoharibiwa au kuvurugwa na Baadhi ya Mahakimu kwa Makusudi kabisa.
Kwa Mfano ipo Kesi Moja hapa iliyokuwa na Ushahidi wa Wazi kabisa kwamba Mtuhumiwa amemeza dawa za Kulevya lakini hakimu akasema kwamba Mtuhumiwa huyo alikuwa na tatizo la Vidonda vya tumbo."
- Rogers Sianga (Mkuu -DCEA).
0 comments:
Post a Comment