Asema uendeshaji vyama vya ushirika bila kuzingatia sheria ni hatari na ndiyo chanzo cha ubadhirifu na kuua ushirika
- Ataka vyama vya ushirika vijiendeshe kwa kufuata sheria, vijenge imani kwa wanaushirika na kuweka wazi taarifa za fedha

- Amewataka warajisi wa ushirika kuwa wepesi kushughulikia matatizo ktk vyama vya ushirika
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya leo amefungua mafunzo
Kwa viongozi wa Chama cha ushirika wa zao la Tumbaku wa Wilaya YA Chunya na Songwe na kuwataka wajenge ushirika wenye nguvu, waepuke ubaridhirifu na kufuata sheria za ushirika ktk uendeshaji wa shughuli zao za kila Siku 

Amemuomba Mrajisi Mkuu wa ushirika kufanya mafunzo kama hayo kwa VIONGOZI wa vyama vyote vya ushirika na maafisa ushirika wa halmashauri zote za Mkoa wa Mbeya
0 comments:
Post a Comment