
Baada ya Magazeti ya Tanzania kuandika headlines kuhusu Waziri wa Sheria na Katiba, Prof. Palamagamba Kabudi kutajwa na chuo kikuu cha Dar es salaam kuwa mmoja wa watu ambao kuna ishu kwenye vyeti vyao, Makamu wa Chuo (taaluma) Prof. Florens Luoga ameongea.
Akiongea na AyoTV Prof. Luoga amesema ‘Sio Waziri peke yake hata mimi niko kwenye hiyo list, hizo taarifa zinaweza zikaenda na zilikua hazijaangaliwa, ni swala la kurekebisha tu wala sio kitu cha ajabu…. Waziri wa katiba mimi nimesoma nae na alikua mbele yangu na najua amesoma shule zipi’
0 comments:
Post a Comment