Posted by Williammalecela.com on Friday, May 19, 2017
 |
Timu ya Taifa ya Vijana ya Serengeti Boys ambayo ipo Gabon sasa hivi inakogombea Ubingwa wa Afrika kwa Umri wa Miaka 17 na inaongoza kwenye kundi lake kwa Magoli 2 na Point 3, baada ya jana kuishinda Angola kwa Magoli 2-1. Tizama Wafanyakazi wa DSTV picha mbili za chini live!!
|
0 comments:
Post a Comment