Thursday, May 11, 2017

Mahaba niuwe ni pondeponde kama nyanya haaaa Bond weee jua kudeka haswa pale unapopendwa,ukipata anayekupenda mshikilie mshikilie mwenye tabia za kupendeza mshikilie mshikilie maana Bond sasa kageuka msusi wa kimataifa shurti kusema salon wanamboronga mkewe haaaaaaaa mapenzi ni balaaa... hongwreni when its meant to be, it will be....

0 comments:

Post a Comment