
"Mlinzi wa kwanza wa Mwanahabari ni Mwenyezi Mungu.. na mlinzi wa pili na wa mwisho wa mwanahabari huyo huyo ni Ukweli,
Baadhi ya wanahabari wanatumia hisia, majungu na mihemko kuwahukumu wengine, wameacha misingi ya taaluma, wamegeuka kuwa wapiga ramli,...Ni lazima muwekeze kwenye tafiti,...nina ahidi kuwa mtetezi wa kulinda habari za uchunguzi." - Waziri wa Habari Dr. Harrison Mwakyembe.
0 comments:
Post a Comment