Posted by Williammalecela.com on Thursday, June 15, 2017
 |
"Leo
14/06/2017 ni siku ya kuchangia damu duniani. Na mimi kama Mtanzania
Mzalendo nimeitikia wito kuchangia damu yangu katika kituo cha Hospitali
ya Taifa Muhimbili.
Damu ni muhimu kwa wale wenye mahitaji hivo
tukitokeze kwa wingi kuchangia damu ili kuokoa maisha ya wenzetu. Kituo
cha Muhimbili kinaendesha zoezi hili kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 2
usiku. #ChangiaDamu #OkoaMaisha #WorldBloodDonationDay #DonateBlood #SaveLives
Earlier today at Muhimbili National Hospital where I went to donate blood in a response to the World Blood Donation Day."
|
0 comments:
Post a Comment