![]() |
| Huyu ndiye Ndama Mutoto ya Ngombe, aliyekuwa mfalme wa Starehe na Warembo wa hapa mjini Dar, ambaye sasa yupo Rumande ya Keko akituhumiwa na Serikali kuhusika na uvunjaji wa Sheria za kughushi maandika ya kuibia pesa sehemu mbali mbali nchini. Hapo ni majuzi akiwa Mahakamani Kisutu. |
Thursday, June 8, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment