
Taarifa iliyoripotiwa leo May 31, 2017 ni kuhusu Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta kuzindua Treni ya kisasa nchini humo ambayo itafanya safari zake kutokea Mji wa Pwani wa Mombasa hadi katika Jiji la Nairobi. imezinasa picha pamoja na video fupi iliyoripotiwa na Clouds Habari kuhusu tukio hilo la uzinduzi wa treni hiyo mpya na ya kisasa iliyozinduliwa na Rais wa nchi hiyo Uhuru Kenyatta.










B
0 comments:
Post a Comment