Wachumba
wa wawili ambao ni Vikongwe raia wa Paraguay wameamua kufunga pingu ya
maisha kanisani hivi karibuni baada ya kukaa uchumba kwa miaka 80.
Bwana Jose Manuel Riella ana umri wa mika 103 na mkewe Martina Lopez ana miaka 99 na walianza uhusiano wao tangu mwaka 1933.
Wapenzi
hao wameamua kufunga ndoa kanisani huku wakiwa na watoto nane, wajukuu
50, vitukuu 35,na vilembwe 20 ambao baadhi yao walihudhulia ndoa hiyo.


0 comments:
Post a Comment