![]() |
| Watu
watatu wakazi wa kijiji cha Nyamisati, wafariki baada ya kupigwa risasi
na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo.Miongoni mwa watu waliopigwa
yumo mwanamke mmoja ambaye ni Mwenyekiti wa Kitongoji kimojawapo
kijijini hapo. MAUAJI - KIBITI: #My_Take ..Katika Andiko langu la Tarehe 14 Mwezi April lenye kichwa "MAGAIDI na VITA ya SILAHA na ROHO" nilieleza kwamba hawa sio Majambazi bali ni Magaidi na Serial Killers kutokana na nature ya Task yao haramu,.hivyo JWTZ waingie Msituni, nayakumbuka sana Matusi ya Waturutumbi wakidai nanogesha Story na kukuza Story, ...lakini tangu wakati huo mpaka sasa zaidi ya Watu 10 wengine Wameuawa kwa Risasi....GOD have Mercy upon Us. |
Friday, June 9, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment