WATOTO
Sadia, Wilson na Doreen kesho Jumamosi, Juni 10 wanatarajiwa kupeperusha
bendera ya Tanzania wakiwa kama waamuzi, au marefa wa heshima “Honorary
Referees” kwenye mechi ya mpira wa miguu (American Football) utakaochezwa
kwenye uwanja wa ndani wa Tyson Arena mjini Sioux City kuanzia saa 2 usiku (saa
za CST-Sioux City IA). Mashabiki zaidi ya 4,000 wanatarajiwa kuwepo uwanjani
kuishabikia timu ya mji wa Sioux iitwayo “Sioux Bandits” ikichuana na timu
ngeni.
(Picha kutoka Tyson Arena, Sioux City WATOTO Wilson na Sadia, Dkt Mashalla,
Mama Wilson kwa pamoja wakiwa na baadhi ya wachezaji wa Sioux Bandits Jana
wakijiandaa na shughuli ya kesho) MTOTO Doreen alitakiwa kupumzika zaidi siku
ya Jana na Leo kwa Ratiba ya Madaktari

0 comments:
Post a Comment