POLISI Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewaua watu wawili wanaodaiwa kuwa ni majambazi huku mmoja akijeruhiwa na kukimbizwa hospitali kwa matibabu.
Akitoa ripoti ya mafanikio ya Jeshi hilo, Kamanda wa Operesheni, ambaye pia ni Kaimu Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lucas Mkondya amesema kuwa jeshi hilo pia limefanikiwa kukamata silaha mbili na risasi 5.

0 comments:
Post a Comment