Madai
mazito! Kufuatia baadhi ya mastaa wa kike Bongo kuwa na tabia kila
anapokuja staa wa nje kwa ajili ya kupafomu au mwanaume mwenye fedhakufanya jitihada za kumnasa kimapenzi, wanadaiwa kuwa ni ‘jamvi la wageni’ kwa kile kinachosemekana kuwa huwa wanajilengesha wenyewe, Wikienda lina listi kamili.
0 comments:
Post a Comment