"Na
kesho tunaendelea na ziara, tunakutana na Mkuu wa Mkoa wa Pwani na RPC
wa Pwani pia. Mimi natimiza wajibu wangu na wale wanaosubiri ninunuliwe
watasubiri miaka 100.
Sina bei na sikuwahi kuwa
na bei, na hata hao wanaonunua viongozi wa vyama vya upinzani wanajua
sinunuliki na nadhani walishani DELETE kwenye vitabu vya wanunuliwaji wa
siku zijazo. Watu wanaonifahamu vizuri wanajua SINA BEI! Kwa hiyo
niacheni nitimize majukumu yangu."
Hayo
ni Maneno ya Mtatiro kupitia ukurasa wake wa Facebook Jana Juni 7, mara
baada ya kuweka ujumbe kuwa amekutana na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment