Saturday, June 24, 2017

Msanii kutoka Nigeria ambaye kwa sasa ana Roll na majina makubwa ya Roc Nation nchini Marekani Tiwa Savage ametoa historia ya colabo yake na mtanzania Diamond Platnumz.

Tiwa Savage anasema “2014 on the set of the Africa rising project in Ghana @diamondplatnumzand I talked about doing a collaboration and somehow it has taken 3 years but I am so excited that we finally made it happen. The result is another MASSIVE African record. No wonder the title of the record is #FIRE because it has started catching FIRE across the continent” Akimaanisha  Mwaka 2014 Wakati wanafanya video ya Africa Rising ndio waliongea kuhusu colabo, imechukua miaka mitatu kukamilika, matokeo yake ni makubwa sana ndio maana inaitwa FIRE sababu imewaka moto bara zima

0 comments:

Post a Comment