Mapema
leo gari liligonga na kuingia ndani ya nyumba moja nchini kupitia paa
la nyumba hiyo Afrika Kusini. Dereva wa gari hilo amesema kuwa alipokuwa
akiliendesha gari hilo alikutana na tuta moja barabarani
lililosababisha gari hilo kuruka na kuanguka katika paa la nyumba hiyo.
Bado haijulikani ni vipi tuta hilo lilisababisha ajali hiyo.
Bado haijulikani ni vipi tuta hilo lilisababisha ajali hiyo.
Hakuna mtu aliyejeruhiwa na dereva wa gari hilo hakupata jeraha lolote.
0 comments:
Post a Comment