Kijiji hiki kinapatikana katika jimbo la Overijssel, huko nchini Uholanzi. Kijiji hiki hakina barabara na watu wake husafiri kwa kupitia mifereji yake maridadi au kutembea kwa miguu juu ya madaraja ya mbao yaliyopo juu ya mifereji hiyo ya maji. Kijiji hiki kimekuwa ni kivutio kikubwa cha utalii katika jimbo la Overijssel.
Sunday, June 25, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment