Kutoka Ofisi ya Mbunge Jimbo la Iringa mjini kwanza kabisa tunapenda kumshukuru Mungu kwa kutupatai Rais mwenye mapenzi ya dhati na Taifa hili hakika anastahii kuombewa
Leo Mh *RAIS * kaongea mambo mazito kama wewe ni *MTANZANIA * mwenye uchungu na Taifa hili lazima ujiulize na kujipa jibu kuwa uyu *RAIS * ndio Taifa lilikuwa lina muhitaji tatizo yupo CCM tu lakini *RAIS * tumempata yani natamani CCM inge mkata Magufuli kipindi kile tuka mchukua sisi maana uyu ndio Rais wa kweli tatizo yupo CCM tu
Napenda kusema na kuwa sii watanzania Kwenye hili tumuunge mkono Mh *RAIS * tu tunajua ata CCM wana mchukia kwa kazi nzuli ya kizarendo maana anawanyoosha kweli kweli
Nachelea kusema kweli hii ni Tanzania mpya Tanzania mpya tu pia yote yanayo fanywa ni Sera za vyama vya upinzani
Mimi siipendi CCM lakini kuhusu Mh Rais leo kanigisa sana sana huyu ndio Rais wa kweli na amegusa mioyo ya watanzania wote hususani wanyonge
*Mungu hibariki Tanzania*
*Mungu mbariki Rais*
*Tanzania kwanza*
Imetolewa na;
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Iringa mjini
Leo 12/6/2017.
0 comments:
Post a Comment