Friday, June 9, 2017

 Image may contain: 2 people, people sitting and indoor

"Kila siku huwa naamka saa 10.30 alfajiri. Nafanya mazoezi kidogo na ikifika saa 12 tayari nakuwa kwenye mizunguko."

" Wakati tunaanza biashara hii ilikuwa sio rasmi, ilikuwa ni kupiga disco. Ilionekana ni biashara ya kihuni lakini hatimaye tulifanikiwa kubadili ntazamo huo."
" Tulipoanza mimi na Ruge Mutahaba tulikuwa vijana wadogo sana na ilikuwa shida kuaminika lakini tulisimama".
"Ushauri wangu ni kuwa Fanya ukiwezacho na ukipendacho, acha kuiga. Usione kwa vile Ruge anaandika mashairi basi na we uandike mashairi. Kama we ni mfinyanzi basi ufanye ufinyanzi." -  JOSEPH KUSAGA, 9.6.2017

0 comments:

Post a Comment