Thursday, June 1, 2017

Image may contain: 2 people, suit-Barabara 11 za jijini la Mbeya zitawekwa Taa ni kwa ufadhili wa Benki YA Dunia. Ni ufuatiliaji wa MAZUNGUMZO YA juzi tr 26 mei kati YA Mkuu wa mkoa wa mbeya na mkurugenzi mkazi wa benki YA Dunia Bi Bella Bird- Ameishukuru BENKI YA Dunia kwa Msaada uliowezesha ujenzi wa stendi YA Nane nane na barabara za jiji la Mbeya
Image may contain: 3 people- Mkuu wa mkoa ameyasema leo ktk kikao cha kusikiliza Kero za wananchi na kuwataka wananchi kuacha kufanya biashara na shughuli za kijamii kwenye HIFADHI YA barabara ili kuendeleza kampeni YA usafi ktk jiji la Mbeya na katika kupendezesha zaidi jiji la Mbeya wamepokea msaada wa kuweka Taa jiji la Mbeya kazi itakayoanza mwezi huu wa JUNIImage may contain: 3 people, people smiling, people standing and suit
- Amezitaja barabara zitakazowekwa taa ni
1. Rtd jacaranda- FFU rd 2.Commissioner Rd 3.Dausen- Legico Rd 4.Ndiyo supermarket- Regional Hosp Rd 5.New Forest Rd 6. Barabara YA pili 7. Airport- Samora sec Rd 8.Kabwe block T- sido Rd 9. Soweto- TEKU Rd 10. Soweto Market Rd 11. Igawilo Hosp RdImage may contain: 1 person
- Mkuu wa Mkoa amewataka viongozi wa ngazi zote na wananchi kutoa ushirikiano kwa mkandarasi na pia kuzilinda taa hizo
Mkurugenzi mkazi wa BENKI ya Dunia amehaidi kutembelea mkoa wa Mbeya maoema mwezi wa Tisa mwaka huu kwa ziara YA Siku mbili na mehadi misaada mingi zaidi kwa Mkoa wa mbeya

0 comments:

Post a Comment