Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Job Ndugai
amepata ugeni wa Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Comrade Abdulrahman Kinana,
leo Ofisini kwake Mjini Dodoma, na baadae kuwa na kikao kifupi na Balozi
huyo. Kulia kwake ni Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah.
0 comments:
Post a Comment