EXTRA
STRAIGHT TALK:- The Art of Escrow ..kwa kifupi sana the FACT is hawa
ni Watuhumiwa tu bado hawajahukumiwa so ni muhimu sana kuwa na AKIBA YA
MANENO katika kuwahukumu .
...but POLITICALLY inaruhusiwa kuwahukumu kwa
kuchanganya Siasa za Taifa its ok by Politics Rules na the FACT is kwa
habari zote nilizozisikia toka jana on this ishu sina tatizo kukubali
kwamba CCM TULIKOSEA SANA na hii ishu f
or
Once tulitakiwa kuwasikiliza Tundu Lissu na Kafulia maana jana
nimeangalia kwa makini Video za malalamiko yao na hii ishu ilopowaka
moto miaka michache iliyopita na kuona FACTS katika maelezo yao kuwa
ESCROW lilikuwa ni Dude hatari kwa Taifa na Umma ...hivi in our right
senses tulikuwa tunafikiri nini kukomaa kwamba Pesa waliozogaiwa
Wanasiasa. Maaskofu, na Watu wengi muhimu kwenye Jamii yetu eti hazikuwa
za Serikali kwa hiyo hakukuwa na Tatizo? ...Ohh Please kwa kuwasikiliza
Lissu na Kafulila ipo very Clear kwamba kuna ushahidi mwingi wa "WRONG
DOING" na hii ishu infact kuna mpaka Ushahidi wa "UNDER OATH" uliotolewa
London na Ndugu Rutabanzibwa kuwa aliombwa kupewa rushwa ya USD $
200,000 na hawa watu wa Escrow ili aruhusu IPTL na pia kuna ushahidi wa
Under Oath from London kuwa kuna Mama anayeitwa Mary Ndosi ambaye
binafsi nimekuwa nikimsikia sana kwa muda mrefu kuhusika sana na ujanja
ujanja wa Mikataba ya ulafi ametajwa akimuomba kumpa Rushwa ya Tsh. 100
Milioni ili aikubali IPTL ambayo ndio hasa chanzo cha Escrow ....halafu
another FACT ni hawa wanaoitwa SIMBA GROUP wanaomilili 50% Shares za
IPTL kwa nini HAWAJAWAHI KUTAJWA MAJINA YAO? WHY? ....something is a
miss if tutafikia mahali Tajiri mmoja ataamua kugawa mapesa ya ajabu kwa
watu muhimu katika Jamii halafu sisi tuka kaa kimya na kusema ni mapesa
yake hayatuhusu vipi kuhusu Maadili ya Uongozi? ...ninasema tena kwamba
kwenye hili la Escrow CCM tulikosea sana tungeliweka kwenye Uchunguzi
sawa lakini Conclusion kwamba sio Pesa za Taifa au Umma kwa hiyo ni sawa
kwa Viongozi na wengine kugaiwa mapesa mengi vile ...like Mbunge Mama
Tibaijuka alipewa 1.6 Bilion na Mbunge Chenge 1.6 Bilion na wote ni
wabunge wa CCM! I mean mbona hakuna Mbunge wa Upinzani aliyegaiwa?
....CCM TUJITAFAKARI SANA NA HILI! - le Mutuz Nation
0 comments:
Post a Comment