![]() |
|
LIVE
STRAIGHT TALK:- Mungu anasema "MY PEOPLE ARE DYING BECAUSE OF LACK OF
KNOWLEDGE" ...sijui kama WaTanzania wenzangu wengi wanajua kilichotokea
mpaka kufanya Wazungu wa Makinikia kuchukua ndege Private haraka na kuja
kumpigia magoti Rais Magufuli cause naamini tungekuwa wote na AKILI
KUBWAZZ kama yangu matokeo mazuri tuliyopata yangekuwa makubwa zaidi
hasa kwa kutumia Social Media zetu ...baada
ya matokeo ya Tume ya Pili ya Rais ya Madini yetu kwenye Masoko yote ya
Dunia Stock Exchange Barrick Gold waliingia hasara kubwa kwa kupoteza
karibu 60% ya Thamani ya Hisa zao ...Serikali ya Canada wanapotokea
Barrick kuna Sheria kali sana za kuwabana Kampuni yoyote itakayojulikana
kufanya Utapeli Africa... wananchi wa Canada na nchi zote za West
hawayapendi Makampuni makubwa kama Barrick kwa sababu ni ya unyonyaji wa
wananchi kwa hiyo Rais Magufuli alikuwa amewabana kwenye kona hawa
Barrick ambayo hawakuwa na ujanja wowote zaidi ya kuufyata mkia ...Dunia
nzima ilikimbilia kwenye Social Media ya Tanzania kuona sisi wananchi
tunasema nini kuhusu hiyo ishu? Kwa mshangao mkubwa wakatukuta tupo busy
na maisha ya Diamond na Zari like Mwaka Jana kuna Benki ya Marekani
iligunduliwa kuwatapeli Wakenya kwa kupitia Social Media yao ile Benki
iliiishia kufungwa na CNN waliishia kuwaomba radhi Taifa zima la Kenya
kwa sababu ya moto wa Mitandao ya Kenya uliopokelewa na Wanaharakati wa
Majuu na kusababisha maandamano kupinga Unyonyaji wa Waafrika ...so kule
Canada Wanaharakati walikuwa wanasubiri kutusikia Wabongo kusudi
waliamushe Dude like siku ile yule Askofu wetu alitakiwa afanye sala
maalum kwa English kuliamusha Dude la Makinikia kama anavyofanya kwenye
mambo ya Udaku ...Barrick wangefanyiwa Maandamano Canada na Wanaharakati
ungekuwa ndio mwisho wao Bunge lao lisingewaruhusu kuwepo tena na hawa
Wazungu waliokuja kwa ndege juzi wangeitwa kwenye Kamati ya Bunge lao
wakahojiwa under Oath wangeishia kufungwa na Kampuni yao ingekufa kifo
cha Mende ...NDIO MAANA WALE WAZUNGU WALIKUJA MBIO KWA PRIVATE JET
kumpigia magoti Rais lakini hata Wazungu wameshangaa Mazwazwa
yanayopayuka payuka hovyo hapa Bongo na hata kuunga mkono unyonyaji
wao... MUNGU AMBARIKI RAIS WETU! - le Mutuz
— at City Center, Dar-es-salaam. |
Friday, June 16, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 comments:
Post a Comment