Thursday, June 1, 2017


LIVE STRAIGHT TALK:- The ART OF LETTING THINGS GO Sheria ya Maisha ni kwamba Mungu hawezi kukupa mambo mapya mazuri kama binadam hutaki kuachia mambo yako ya sasa mabaya ambayo mengine unaweza usiyajue kwa urahisi kuwa ni mabaya lakini Mungu
anajua ndio maana anaweza kuyaondoa huku akikuachia maumivu makali ni kwa sababu ya binadam kukosa buasra ya kuelewa kwamba Mungu ndiye mwenye Maisha na Mungu ni mwema hawezi kukufanyia anything kibaya cause hana ubaya ila ni AKILI NDOGO SANA za Binadam huwa zinamfanya kulalamika lalamika bila FACTS kuhusu Maisha yake ....Binadam hatuwezi kupendwa na wengine wote HAIWEZEKANI ndio maana hata kwenye maandiko yake Mungu anasema "IKIWEZEKANA ISHI KWA AMANI NA KILA BINADAM" kwa Mungu kutumia neno "IKIWEZEKANA" ina maana anajua kuwa Haiwezekani sasa wewe unapigania nini hasa? ...huwa nawaona baadhi ya binadam wanapigania kukubalika na kila mtu in the process wanajiumiza na kuumiza wengine kisa na mkasa wanatafuta kukubalika na wote stop it and be you wacha kulazimisha Maisha let them go ....sio lazima kukubalika na kuelewana na kila mtu ninasema SIO LAZIMA Binadam ni Binadam tu tumeumbwa kwa kutuma Udongo na huwa tunarudi kwenye Udongo hatuna lolote la kugopwa sana so tunatakiwa kuishi kwa KUHESHIMIANA sio Kuogopana ...mimi Binafsi ninawaheshimu Binadam wote mpaka pale anapotokea binadam mmoja asiyetaka Heshima yangu hapo hapo ninaifuta cause kama huwezi kuachana na Binadam wajinga Mungu hawezi kukuletea binadam wenye AKILI KUBWAZ ndio maana ni muhimu sana unapoona binadam unayejihusisha naye humuelewi ni kuwachana naye mara moja na dont look back cause ukisita tu na kuangalia nyuma unajirudisha kwenye ujinga na hutakuja kutoka .....guys ogopa sana Binadam mjinga cause mjinga ni mjinga tu anaweza akasoma sana na bado akawa mjinga tu Mungu anasema "GUARD YOUR HEART CAUSE ALL THINGS OF YOUR LIFE COMES FROM IT" ...jifunze to let things Go when they have too.... cause Mungu hawezi kukupa anything good and new kama unakamatia ujinga wa zamani! ASUBUHI NJEMA GUYS! - le Mutuz Nation

0 comments:

Post a Comment