Posted by Williammalecela.com on Thursday, June 01, 2017
 |
| Mfanya biashara maarufu hapa mjini Dar Super Bilionea Chicago Matelefone, akiwa na Marehemu Mama yake Mzazi enzi za uhai wake akiwa Hospitalini alipolazwa Aghakhan Hospital siku chache kabla hajazidiwa na ugonjwa na kutangulia mbele za haki. Leo ni Mwaka mmoja toka kifo hicho kilipotokea. Mungu amueke pema peponi Marehemu. |
0 comments:
Post a Comment