Nchini
indonesia katika kijiji cha Tana Toraja, maiti huwa zinafufuliwa na
Kubadilishwa nguo, zoezi hili hufanyika kila mwaka baada ya maiti
kuzikwa, na wanafamilia ndio huifanya kai iyo;
Mara
nyingi mtu anapo kufa huwa wanamzika katika sehemu aliyo zaliwa na sio
aliyokufia so kila baada ya mwaka humfukua na kumbadilisha mavazi, hii
ni moja kati ya mila zao wenyewe:
Duuh hii nouma sana mimi kwa hapo neno sina khaa!!!
0 comments:
Post a Comment