![]() | |
| Makosa ya kiufundi katika kituo cha Television cha Clouds jana yalipelekea mijadala mizito kwenye mitandao ya kijamii, huku wananchi wengi wakihoji kama huyu mama naye aliingia huko Clouds kwa kuvamia na kuwalazimisha wamrushe kama Mkuu wa Polisi Tanzania.
Martin Saxon Mwambene Nadhani ule mjadala unazidi kuchukua nafasi kubwa baada ya kuwa na IGP wa 3 sasa,
Malisa GJ
Bakari Omar au huyu Ashura kawavamia na anawalazimisha waandike hivyo Kwa mtutu wa bunduki.?
Malisa GJ Vita ya madawa ya kulevya haijawahi kumwacha mtu salama.!
Ibra Ngamange Hawa washajaza sasa wasubiri na wao wajazwe
Malisa GJ Vita ya madawa ya kulevya haijawahi kumwacha mtu salama.!
|
Thursday, June 1, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment