HYATT REGENCY-THE KILIMANJARO HOTEL: 06.08.2016
Mbunge mpya wa Bunge la Afrika Mashariki Dr. Ngwaru na mkewe Mwanaidi wakiingia ukumbini kwa bashasha
Mh.Prof. Jumanne Maghembe akitoa neno la ukaribisho kwenye usiku wa harusi ya mtoto wake Dr. Ngwaru Maghembe.
When friends meet, ni Dr. Chris Mauki, Dr. Ngwaru na kushoto ni Dr. George Fasha. Hawa walisoma chuo kimoja S.A
Mh. Prof. Jumanne Maghembe na mkewe wakitoa neno la wosia kwa mtoto wao Dr. Ngwaru na mkewe Mwanaidi
Happy moment, ni Mh. Jerry Slaa pamoja na Mh. Hussen Bashe wakifurahi pamoja kwenye usiku wa Dr. Ngwaru
Friends of Dr. Ngwaru all the way from South Africa and Spain they came to support Dr. Ngwaru in his wedding.
0 comments:
Post a Comment