Tuesday, June 20, 2017

Mbunge wa Sumbawanga Mjini Aeshi Hilaly alikuwa miongoni mwa Wabunge waliowasilisha mapendekezo yao katika Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18 ambapo aliitaka
Serikali kuacha kupuuzia baadhi ya michango ya watu ambao wanaonekana hawana elimu za juu ili kuwarahisishia kujua changamoto zilizopo mitaani.

0 comments:

Post a Comment