
Mbunge wa Chalinze Mhe.Ridhiwani Kikwete akitoa maelezo kwa wajumbe waliotembelea mradi mkubwa wa maji unaojengwa jimboni kwake ka ajili ya kutatua tatizo la maji katika jimbo la chalinze ikiwa ni utekelezaji wa ahadi za Mbunge huyo kipindi cha kampeni mwaka 2015
Kazi inaendelea
Mbunge wa Chalinze Mhe.Ridhiwani Kikwete akitoa shukrani zake za dhati kwa Waziri wa Maji na wananchi waliohudhuria ukaguzi huo kutoka makao makuu ya wizara baada ya kuridhishwa na utekelezaji wa ujenzi wa mradi huo.
0 comments:
Post a Comment