![]() |
Tunaendelea na wavumbuzi...... Ilikua ni nov 10.1919 magharibi mwa #siberia alizaliwa mwanamapinduzi mkubwa ktk nyanja ya #silaha aitwae A.#mikhael #kalashnikovu mtu hyu mwenye asili ya #urusi alipokua akilitumikia jeshi mnamo 1938 yeye na rafiki yake aliwaza jinsi gani alete silaha ya kutuliA amani kwa sababu alikua mjuzi wa kuunda vitu na uboreshaji wa silaha na vifaa vya #jeshi la urusi ya wakati huo hivyo miaka tisa badae yaani 1947 akaitengeneza #AK47 hapa twekane vizuri ilikua na maana ya A..jinalake lamwanzo la kirusi Antoni K...jinalake lamwisho na 47....ni mwaka wa silaha hiyo kuundwa ~~~~~~~ikumbukwe kua lengo n kuleta tu #amani duniani lakini alikuna kujuta nikwa nini aliitengeneza kwa kua ilileta madhara sana makubwa duniani. |
![]() |


0 comments:
Post a Comment